Wana JF wenzangu,
Tukumbushane enzi zile tulizokuwa shule za secondary kile kipindi cha debate na morning talk (speech).Bila kusahau motion mbali mbali zilizokuwa maarufu enzi tupo shule.
Mfano...
Mwenye taarifa kamili ya wanafunzi wa Tumaini university Makumira-Mbeya ambao wanatakiwa wakafanyie mitihani yao Compus ya Makumira-Arusha, atujuze hapa
Pitapita zangu zimenifikisha hapa. Someni kiambatanisho hicho na mujitafakari.
Wazazi pia wanaweza pata cha kusema juu ya elimu yetu na matumizi ya pesa tunazotumia kutafuta shule tunazoita...
Habarini za jioni wapendwa ,, tumaini langu wazima Wa afya ,, kama kichwa kinavyosema hapo juu nilikuwa naomba msaada juu ya vyuo vya mifungo na sifa ya kujiunga na hivyo vyuo matokeo Haya hapa ya...
Msema kweli mpenzi wa Mungu,
Nilisoma kayumba nursery hadi chuo.Kingereza changu ni kibaya sasa ya mungu Mengi kuna jambo nataka kufanya nahitaji kujiongeza.
Naombeni ushauri wapi wanafundisha...
Nina shida ya mwalimu mzuri wakuwafundisha watoto wangu tuition wa darasa la kwanza na la pili nitamlipa vbizuri tu ,niko maeneo ya kibada-kigamboni .kama nitapata wa maeneo haya haya nitafurahi...
Habari wanajamvi.
Naomba mwenye uelewa wa chuo kinachotoa short kozi za marketing na taarifa zingine zinaxoambatana na kozi hiyo kama lini intake mpya inaanza madomo, ada, etc.
ninahitaji...
Wakuu,
Nikikaa Marekani au UK kwa mwaka mmoja nitaweza zungumza hii lugha ya malkia kwa ufasaha bila kigugumizi?
Nimemaliza chuo tena bachelor lkn kingereza changu sio kizuri, na huwa nakwama...
Naomba mnisaidie nimemaliza diploma ya procurement ktk chuo cha st joseph mwaka 2018 nataka kuendelea ngaz nyingine lakin nashindwa kutokana na taarifa zangu hazipo NACTE na kila ninapo ulizia...
Wakuu salama?
Leo niko na majonzi sana kwani nimepokea matokeo yangu ya test ya INTERNATIONAL LANGUAGE TEATING SYSTEM (ielts) na kupata overall 6.5. Lengo langu ni 7 kwa kila module, je nifanyeje...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza leo tarehe 20 baadhi ya walimu wamepelekwa shule za msingi haijalishi mwalimu ana digrii au diploma,ikumbukwe walimu hao walipo kuwa vyuoni hawaku...
Mwalimu wangu wa somo la Fizikia wa O'level aliwahi kuniambia kuwa DIT ni bora kulinganisha na UDSM katika field ya engineering kwasababu kuna vifaa vingi vya kujifunzia. Na kwamba wa DIT wanakuwa...
NAOMBA kujuzwa kuna intake ngapi au kuna awamu ngapi za kuomba nafasi ya kusoma chuo huria
Mimi binafsi niliomba kujiunga na chuo hicho jina langu halijatoka na Nna GPA YA 3.0 ya Diploma ya...
Wandungu samahanini naombeni kuuliza hivi mfano mtu aliesoma Diploma ya General Agriculture anaweza omba degree ya COMMUNITY DEVELOPMENT na akachukuliwa kwenda kusoma?Mwenye uelewa anaombwa kunipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.