Wanazo,na degree piaWakuu mliopo humu ndani hivi open university wana course za diploma za ualimu?
Yes unasoma kwa distance Education ukiwa unaendelea na shughuli zako kama kawaidaHizo za diploma unaweza kusoma ukiwa nyumbani?
Yeah,program zao zote unasomea nyumbani ndiomaana ya distance learning ila utatakiwa kuhudhuria chuoni kufanya mitihani,presentation nk kulingana na mujibu wa ratibaHizo za diploma unaweza kusoma ukiwa nyumbani?
Umenielewesha vema sana bro. Na hizo courses za diploma ntazipataje bro maana mle kwenye TCU guide book hazipo .Yeah,program zao zote unasomea nyumbani ndiomaana ya distance learning ila utatakiwa kuhudhuria chuoni kufanya mitihani,presentation nk kulingana na mujibu wa ratiba
Nenda kwenye website ya open then nenda apply online, hapo utajisajiri na kuchaugua koziUmenielewesha vema sana bro. Na hizo courses za diploma ntazipataje bro maana mle kwenye TCU guide book hazipo .
Wana headquarters kila mkoa hapo ulipo tafuta utapata mrejesho mzuriWakuu mliopo humu ndani hivi open university wana course za diploma za ualimu?