Advice / Ushauri

Advice / Ushauri

Jay Lee Tz

New Member
Joined
May 6, 2018
Posts
3
Reaction score
0
Habar Zenu Wana Jf Naiman Mko Vyema Nitangulize Shkran Zangu Za Dhat Kwenu Wana Jf

Mimi Ni Kijana Ambaye Nimezaliwa 02.01.1997 Nimemaliza Shule Ya Msingi Daras La Saba Mwaka 2013 Bahat Mbaya Nikafer Sikuweza Kuendelea Na Elimu Mpaka Mpaka Sasa Na Miaka 20 Kwa Upande Wangu Nahitaj Kuendelea Na Elimu Ya Watu Wazima Ila Baba Angu Kaniambia Anipe Tsh Ml2 Nianzishe Biashara Au Anipeleke Shule Nikaanze La Saba NAOMBENI USHAUR WENU WANA JF NAIMAN MTANIPA USHAUR UTAKAO NITOA GIZANI [emoji171][emoji171]
FB_IMG_1519505746504.jpg
 
Habar Zenu Wana Jf Naiman Mko Vyema Nitangulize Shkran Zangu Za Dhat Kwenu Wana Jf

Mimi Ni Kijana Ambaye Nimezaliwa 02.01.1997 Nimemaliza Shule Ya Msingi Daras La Saba Mwaka 2013 Bahat Mbaya Nikafer Sikuweza Kuendelea Na Elimu Mpaka Mpaka Sasa Na Miaka 20 Kwa Upande Wangu Nahitaj Kuendelea Na Elimu Ya Watu Wazima Ila Baba Angu Kaniambia Anipe Tsh Ml2 Nianzishe Biashara Au Anipeleke Shule Nikaanze La Saba NAOMBENI USHAUR WENU WANA JF NAIMAN MTANIPA USHAUR UTAKAO NITOA GIZANI [emoji171][emoji171]View attachment 770023
kasome mafunzo ya ufundi veta
 
Kasomee udereva wa mabasi na malori
 
Siku hizi hakuna kuchakachua kirahisi,Baraza la mitihani (NECTA) hutunza rekodi za watahiniwa kuanzia darasa la pili,sasa wewe ukirudia darasa la saba itakuwaje,labda utumie jina la mtu na sina hakika kama utabaki salama maana NECTA wanakuwa na majina na picha za watahiniwa wote wa darasa la saba.
Kumbuka kutumia jina la mtu ni kosa la jinai na utakuja kupata shida kama DAB(Daudi Albert Bashite)
Nakushauri nenda kasomee gani yeyote unayopenda VETA,itakusaidia sana.
Hiyo milioni 2 unaweza lipa ada ya kozi na pindi umalizapo ukapata hata pesa ya kununua nyenzo/mashine halikadhalika pango la chumba/ofisi.
Kila la heri!!
 
Thanks A Lot Broh Anataka Anifungulie M-PESA Vipi Inafaa Au Niende Veta Tu
 
Nenda VETA katafute ujuzi utakaotumia maisha yako yote,MPESA ni biashara ya msimu tu!
 
Mi najua miaka ile ukifeli darasa la saba unaenda kusoma shule za private secondary
 
hauna kipaji chochote?

huyo kwenye picha ni wewe?
 
Back
Top Bottom