lushalila
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 283
- 107
Naomba mnisaidie wenyekujua Mimi nimesoma masuala ya procurement, nimepata elimu hiyo kwenye bodi ya wataharamu wa ugavi na ununuzi, psptb. Nimefikia level inayoitwa p3 . Natakakujua Kama kuna uwezekano wowote WA kutumia matokeo hayo nikajiunga na masomo ya degree bila Kuwait na matokeo ya form six wala diploma?