Alama za ufaulu kuna double standards sana

Alama za ufaulu kuna double standards sana

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
516
Reaction score
377
Fikiria mtu anachora mstari kuwa ufaulu ni alama 50 (50%), halafu kunatokea wanafunzi watatu wa kwanza kapata alama 45 (45%) wa pili kapata alama 50 (50%) wa tatu kapata alama 100(100%).

Sasa tofauti ya wa kwanza na wa pili ni alama 5 ila wa kwanza KAFELI. Tofauti ya wapili na yule wa tatu ni alama 50 lakini wote WAMEFAULU.
Kuna haki kweli hapo????????
Nawasilisha
 
Sasa sijakuelewa nini ambacho hujaelewa
 
Mkuu labda ungetueleza wewe ungetaka iweje ili tujadili vizuri zaidi. Ukiachilia hilo 50% ndiyo kiwango hapo kinachotakiwa mwanafunzi awe amefaulu. Hivyo ukizikosa hizo wewe umekwenda (F). Haijalishi mwenzako amepata ngapi. Kuamzia 50 na kuendelea wame kidhi viwango, wote wamefaulu lakini kwa viwango tofauti, mmoja anapewa pass yake na wa pili ana ufaulu uliotukuka anapewa banda lake (A). Kwa hiyo ingawapo wote wamefaulu lakini mmoja ana sifa za ziada na GPA yako ina angalia yote hayo pamoja na uzito wa somo.
 
Back
Top Bottom