Cod-2
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 297
- 439
Habari za majukumu wakuu...!!? Naomba kufahamiahwa kuhusu kozi inayotolewa pale SUA ya laboratory technology.. inausiana na mambo gani na nyanja zake za kufanya kazi zikoje..?? Kwa wale wenye uelewa nayo au mlioisoma asa kwa ngazi ya diploma. Ahsante. Ntashukuru kwa msaada wenu wana jukwaa.