Naombeni ushauri: Nimechelewa kujua kama nilipata 3rd selection

Naombeni ushauri: Nimechelewa kujua kama nilipata 3rd selection

Bryson Samson

Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
36
Reaction score
11
Ndugu zangu naombeni ushauri kuna swala moja linanitatanisha sana mwaka Jana nilifanya application chuo kikuu SUA kwa bahati mbaya first selection sikuchaguliwa nika apply tena second application nayo pia sikuona jina langu nikawa nimekata tamaa...

Sasa cha ajabu nimekuja kuona jina langu kwenye list ya wanafunzi ambao walichaguliwa kujiunga chuo kikuu Jana ambapo tayari nimeshachelewa sikujuwa kama kuna third selection....

Je hapo nafasi yangu itakuwepo au ndio nitakuwa nimeshakosa tu...???

Mwenye uelewa anipe jibu natanguliza shukrani[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kama ulichaguliwa mwaka jana ina maana rekodi zao zitaonyesha hukuripoti SUA hivyo watakuwa hawakuhesabu kama mwana funzi wao. Nafasi yako imeyeyuka lazima uanze upya.
 
Nenda TCU ukatoe jina lako kwenye system yao,,, mbali na hapo kupata chuo mwaka huu jipange mzee baba,,,, utakutana na hichi kituu "selection pending, tcu approval, " hii imewakuta sana mwaka jana waliokuwa wameacha chuo bila kutoa taarifa, wakijipa moyo kuwa hawajasajiliwa ,kumbe system tcu bado inawatambua
 
Mr kwa maana hiyo nafsi yangu itakuwa imechukuliwa na mtu mwingine?
 
Kama ulichaguliwa mwaka jana ina maana rekodi zao zitaonyesha hukuripoti SUA hivyo watakuwa hawakuhesabu kama mwana funzi wao. Nafasi yako imeyeyuka lazima uanze upya.
Nikienda chuoni pale SUA kuwaomba kwamba niendelee mwaka huu watakubali????
 
Nikienda chuoni pale SUA kuwaomba kwamba niendelee mwaka huu watakubali????
Siwezi kuwasemea, lakini hakuna ubaya ukienda kuwauliza in person ili ujue msimamo wao. Kama uko mbali waweza pia kuwaandikia e-mail nina hakika watakujibu.
 
Siwezi kuwasemea, lakini hakuna ubaya ukienda kuwauliza in person ili ujue msimamo wao. Kama uko mbali waweza pia kuwaandikia e-mail nina hakika watakujibu.
Ahsante sana mr kwa ushauri mzuri
Nimejaribu kutafuta namba zao sizioni kwenye website yao
 
Hawa ndio wa kuuliza:
Directorate of Undergraduate Studies (DUS)
P.O Box 3000, Chuo Kikuu, Morogoro.
Tel: +2552640010
E-Mail: dus@sua.ac.tz

Hiyo namba yao huenda ikawa sio sawa, jaribu na hii
Tel: +255 23 2640010
Nimepata maelezo Haya..
Regulation :-

A candidate who does not register for an elective course required in a given semister shall have lost the opportunity but may be allowed to register for such a course when next offered..

In case of a failure to register again with a compelling reason, the candidates shall be discontinued
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom