Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Kwasasa Chuo cha Taifa cha usafirishaji(NIT) kimepanda hadhi na kuwa CHUO KIKUU, au university na sasa kitaitwa NATIONAL UNIVERSITY OF TRANSPORT(NUT)
Hii ni baada ya Wachina kuweka Mzigo wa maana KUKIJENGA vizuri na kuwa MOJA YA CHUO BORA CHA usafirishaji barani Africa.
Hii ni baada ya Wachina kuweka Mzigo wa maana KUKIJENGA vizuri na kuwa MOJA YA CHUO BORA CHA usafirishaji barani Africa.