Unakumbuka nini enzi zako za Chuo kikuu?

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,292
Reaction score
6,693
b2ap3_large_college-student---36234671.jpg

Mimi nakumbuka nilikuwa mtaalamu sana wa viapo ambavyo havitekelezeki enzi hizo. Nilikuwa na mipango mingi sana napofika chuo nasema semister hii nitasoma sana kuliko kawaida ila mwisho wa siku maisha ni yale yale ya kuanza kusomea mtihani tu aka ZIMA MOTO hahahaha ilikuwa noma sana hasa pale mtihani wa UE ukikaribia.

Siku naniyoamua kusoma nanunua kabisa na Backup(Mkate wa kula usiku wakati nakesha napiga msuli) ila muda unapofika nafungua slides halafu nafungua na mkate then nakula mkate nashiba kabisa then napanda kitandani nalala nikiwa nimeshiba tena bila kusoma(Hahahahaha).

Inapofika kesho yake nakumbuka kuwa jana sikusoma naanza kujutia na kuapa kuwa LEO lazima kieleweke mara paap sms ya mrembo inaingia tunaanza kuchati na ndio mambo yanakolea tunaelekea kutoboa...Mara siku imeisha na mtihani kesho!

Wakuu hebu tujikumbushe kidogo ilikuaje kuaje enzi hizo ukipambanana na maisha ya chuo?

upload_2018-2-9_22-8-30.png
 
Nilifanya UE nikitokea kwa demu niliye mpata cheng (wenyeji wa mzumbe wanaelewa).Nilipata makarai ya kutosha, kidogo nirudi home semista ile.

Nilipata 02 mtihani wa adm. law nikajua hapa nimekwenda na maji, kuja kugundua kuna watu wana 0 na -ve za kutosha nikajiona chongo kwenye kundi la vipofu.

ila elimu ya Tz ni upuuzi basi tu
 
Hahahhahaha why mi upuu z mkuu
 
Nilienda kupiga pepa la UE Coet. Kufika mlangoni Naulizwa ID kujisachi hamna. Bila ID huingii. Nikawaza akili ikanituma nikaenda hospitali ya chuo. Nikaongea na dereva wa ambulance nikampa 30,000/=. Akanifikisha Mabibo chap na kurudisha main campus.
Itaendelea...
 
Hahahhaaahaa.. chonjo kwenye kundi la vipofu.
 
Nilifanya UE nikitokea kwa demu niliye mpata cheng (wenyeji wa mzumbe wanaelewa).Nilipata makarai ya kutosha, kidogo nirudi home semista ile.

Nilipata 02 mtihani wa adm. law nikajua hapa nimekwenda na maji, kuja kugundua kuna watu wana 0 na -ve za kutosha nikajiona chongo kwenye kundi la vipofu.

ila elimu ya Tz ni upuuzi basi tu
Upuuzi kwann mkuu? Lkn umenifrahisha sna
 
Nilienda kupiga pepa la UE Coet. Kufika mlangoni Naulizwa ID kujisachi hamna. Bila ID huingii. Nikawaza akili ikanituma nikaenda hospitali ya chuo. Nikaongea na dereva wa ambulance nikampa 30,000/=. Akanifikisha Mabibo chap na kurudisha main campus.
Itaendelea...
Hahaha duh
 
Siku moja nmeenda kwenye test asubuh
Nafika kwenye venue kuji search sina Id. Ikabidi niazime Id ya msela kimbwetani nkazama kwenye pepa fastaaaaa
 
Sku moja wakati wa seminar presenatation nlimpiga kamba seminar leader. Jamaa alikuwa anataka ukichangia kitu unatoa reference hadi page uliyopata wazo lako unalochangia. Siku hio nkabuni point na page. Nkanusurika kutolewa nje ya seminar room
 
Back
Top Bottom