Msaada wa kupanga herufi hizi unahitajika

Msaada wa kupanga herufi hizi unahitajika

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,385
Reaction score
2,851
wakuu....
naomba kusaidiwa kwamba kwa mfano una herufi A,B,C,D,E na F na unataka kuzipanga katika namna ambayo nherufi zinaweza kujirudia. mfano; AAAAAA, AAAAAB, AAAABB, AAABBB, AABBBB, ABBBBB, AAAAABC n.k. je, kwa kuzipanga kwa mtindo huu kutakuwa na events ngapi? kama kuna kanuni inayoweza kukokotoa swali la dizaini hii naombeni mnisaidie.
 
(r+n-1)!/[r!(n-1)!]
n=number of choices, in this case 6; i.e. A,B,C,D,E,F
r=required choices, in this case 6; tunatumia zote A,B,C,D,E,F kufanya hiyo permutation.

Umechanganya mchanganyiko, hujaeleweka, hata formula siyo sahihi.
 
(r+n-1)!/[r!(n-1)!]
n=number of choices, in this case 6; i.e. A,B,C,D,E,F
r=required choices, in this case 6; tunatumia zote A,B,C,D,E,F kufanya hiyo permutation.
Thanks sana mkuu, ila tuchukulie kuna event mbili ambazo ni A na B. Na kwa kupitia hiyo kanuni jibu ni 3 wakati kiuhalisia jibu ni 4 ambapo ni AA,AB,BB na BA. Au kuna mahali mimi nakosea?
 
Thanks sana mkuu, ila tuchukulie kuna event mbili ambazo ni A na B. Na kwa kupitia hiyo kanuni jibu ni 3 wakati kiuhalisia jibu ni 4 ambapo ni AA,AB,BB na BA. Au kuna mahali mimi nakosea?

Post nimeweka juu, utaona kwa kesi yako hii ni 2*2 ambayo ni 4.

Huyo kakupa permutation without repetition.

Just go through that link and you are done.
 
Hizo hesabu umezileta humu ndani? Nakushauri kazifanye mwenyewe
 
Hivi hizi number mnafanyiaga nini ...........???!!! kuna Mtu mitaa ya Posta Dar alinifuata akanipa Tshs 50,000/= Nikamtengenezea number kuazia 1hadi 40 zijirudie bila kufanana zikiwa na kolam 8 na rows 5 kufanya Bando moja na zilikuwa bando 320 bila kujirudia.........Sijui yule jamaa alienda kuzifanyia nini zile number......... mwanzoni nilifikiri ni kwa ajili ya vocha za simu au mambo ya bahati nasibu...........na alinisisitiza iwe Siri.............!!!!
 
Back
Top Bottom