Utaratibu wa kujiunga na vyuo vikuu kwa sasa ukoje kupitia TCU au Vyuo? Unaomba online au kwa Barua?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
26,175
2,000
Utaratibu wa kujiunga na vyuo vikuu kwa sasa ukoje kupitia TCU au Vyuo? Unaandika barua au online? Na je vyuo vipi vimeshaanzaa usajili ?
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,953
2,000
Utaratibu unapangwa ikulu hao TCU wapo kama sanamu la michelini. Jamaa wa magogoni kadri atakavyojisikia basi ndivyo itakavyokuwa.
Mkuu uko sawa mama alishasema mwaka jana kuwa watatumia utaratibu ule ule ulio agizwa na magogoni mwaka huu. Na tamko hilo alilitoa kabla ya tathmini yeyote kufanyika baada ya zoezi la udahili 2017/18. Maumivu yataendelea tu.
 

FROWIN

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
216
225
Utaratibu ni kupitia Vyuo Vikuu moja kwa moja ila bado TCU wataleta muongozo mwingine tuwe wavumilivu kidogo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom