NMB wakalaNalipia upya wapi RITA au Benki?
Nahisi inaweza kuwa ni hiyo transaction number {trans No}.Hata hivyo nimelipia kwa wakala sasa hiyo namba ya risiti ni ipi hapo kwenye screenshot. View attachment 802676
NitajarbuNahisi inaweza kuwa ni hiyo transaction number {trans No}.
Sina uhakika sana lakini kwa akili za kawaida hawawezi kuruhusu malipo kufanyika kwa mawakala kisha hiko kipengele kikatae kuzitambua receipt za hao mawakala.lazima kutakuwa na namna hapo!
Sijaelewa hard copy na soft copy inatokaje kwenye simu yangu na pia kwenye pay in slip hakuna pakujaza namba ya simu labda kama malipo yangefanyika kwa njia akaunti yangu(kuhamisha fedha toka AC yangu kwenda RITA)muamala ungekuja kama ujumbe.ndugu MALIPO UKIYAFANYA KWA NJIA YA NMB... KUNA MESEJI HUWA INATUMWA KATIKA SIMU YAKO,, yaani inatoka hard copy ya risiti kama hiyo uliyopost.. alaf pia inatumwa soft copy ya hiyo risiti katika namba yako ya simu..... labda WAKALA awe hajaandika namba yako wakat analipia RITA
mie nimefanya hiyo ishu... wewe si unaenda kwa wakala.. akiingiza control namba atakuuliza na namba ya simu.. unampa sasa text itakuja kwako kama mtu aliyefanya muamala wa kifedha kwa njia ya kawaida alaf vile vile atakupa risiti yenye maelezo sawsawa na yale yaliyoingia katk simu yako kama text.. huwa zinaingia text mbili..Sijaelewa hard copy na soft copy inatokaje kwenye simu yangu na pia kwenye pay in slip hakuna pakujaza namba ya simu labda kama malipo yangefanyika kwa njia akaunti yangu(kuhamisha fedha toka AC yangu kwenda RITA)muamala ungekuja kama ujumbe.
Hivi hiyo control number inapatikana Hapo Benki afadhali ufafanuemie nimefanya hiyo ishu... wewe si unaenda kwa wakala.. akiingiza control namba atakuuliza na namba ya simu.. unampa sasa text itakuja kwako kama mtu aliyefanya muamala wa kifedha kwa njia ya kawaida alaf vile vile atakupa risiti yenye maelezo sawsawa na yale yaliyoingia katk simu yako kama text.. huwa zinaingia text mbili..