Kwanini MD ya University Of Dar es Salaam imeachwa?

Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
408
344
Kwanza kabisa napinga kufungia MD kwenye vyuo kama UDOM na IMTU ma kuiacha UDSM (MD), TCU inapaswa kuulizwa kwa makini sababu za msingi za kuacha MD course pale wakati tunajua kama kuna jipu basi ni hiyo course ya MD hapo UDSM.

Wamezuiwa kutumia hospital ya Muhimbili wanasema wanafunzi watapelekwa Mbeya. Jaman Ndalichako usimuogope Mukandala kwakuwa alikua mwalimu au VC wako, hapa kazi tu. Dhihirisha kama kweli umekomaa katika uongozi.

MD ya pale ni jipu, wanaosoma Medicine wanaelewa nazungumza nini.
 
UDSM kama kawaida yao, wanaishi kwa nguvu ya jina, huwezi kufungia mkongwe kama IMTU ukaacha UDSM, pale UDSM wanaishi kwa party time lecturers from Bugando&Muhimbili, akipatikana mwalim wanapigwa pindi non stop asubuhi mpaka usiku, wiki moja anasepa wanakaa kusubiri mwingine, shame on you mmeleta lecturers from Russia kufundisha UDOM, mmejenga hospitali kubwa pale halafu mnafungia course isifundishwe mnaacha UDSM ambao hata hospitali hawana, sielewi kabisa, ningekua mimi mapema sana ningefungia UDSM nikachukua na hao waliopo nikapeleka UDOM huko wakapige shule...alaaaaa..!!!!!
 
Kejeli zako kuhusu UDSM zinalenga kukupatia faraja ya muda tu.Utapata taabu mno kushawishi wengine;alimradi umeweza kujishawishi mwenyewe,pongezi nyingi sana.
 
Hujui UDSM ndio baba wa MUHAS??
Kama ni baba yake mbona amekatazwa kufanyia mazoezi pale tumia akili badala yake wanafunzi wa MD UDSM wanapelekwa mbeya referral hospital na pia pale yupo mama Emmy na Hortencia kwa upande waAnatomy wote wana masters ten a mmoja ana higher diploma tumia akili ma lecturer hakuna msiende na jina nenda na ubora ....... Wanaosoma medicine najua wanaelewa kua UDOM na IMTU ni Mara kumi ya hiyo UDSM yenu
 
Kejeli zako kuhusu UDSM zinalenga kukupatia faraja ya muda tu.Utapata taabu mno kushawishi wengine;alimradi umeweza kujishawishi mwenyewe,pongezi nyingi sana.
Ndo ukweli haifai,we are talking health profession not otherwise by the way ungekua unasoma medicine ungeelewa what was her point of view
 
Endelea kujidanganya, kama unafuatilia guidebook utaona kwanini MUHAS na CUHAS zimepunguziwa wanafunzi wengi mwaka huu AUDITING Report ya EAST AFRICA iliacha chuo cha KCMC safe but the rest zote zilikua ni shida tena ikianza hiyo UDSM
Bila shaka sasa una amani baada ya kuandika chochote unachofikiri juu ya UDSM.
Unashauriwa kutohangaika na ''The giant'' kwa imani kuwa kwa kufanya hivyo ''A grasshoper'' atapanda juu.
Only weak people do that.Inaoenekana unaangukia kundi hilo.
 
Kejeli zako kuhusu UDSM zinalenga kukupatia faraja ya muda tu.Utapata taabu mno kushawishi wengine;alimradi umeweza kujishawishi mwenyewe,pongezi nyingi sana.
Hakuna haja ya malumbano, tafuta kijana anaejielewa anaesoma MD hapo udsm umchukue maelezo akwambie yanayojiri hapo
 
Wacha uongo na stori za mtaani,sisi ndo tunaosoma wacha stori hizo za mtaani;unafikiri una akili sana kuliko ndalichako!
Povu veepe...!!, nimegusa penyewe eeh, tulia dawa iingie sasa ila udsm school of medicine hamna kitu.
NB: Nazielewa medical schools kuliko wewe na Ndalichako pia, ongea na wanafunzi usiskilize stori za jf.
 
Nakubaliana na mleta mada... wamepeleka tena Architecture pale ilihali sifa za kufundiisha course hiyo hawana... kiufupi hakuna maandalizi....

Chuo cha UDSM nadhani kimebaki jina.... course nyingi ni outdated so wanatafuta namna watakayoweza kuvutia wanafunzi kuja UDSM
 
Back
Top Bottom