Msaada: Nawezaje kupata matokeo ya kidato cha sita baada ya kulipia matokeo yaliyokuwa yamezuiwa kutokana na malipo

Samir seif

New Member
Jul 20, 2018
1
0
Samahani naomba kuulizaa endapo mtu matokeo yake ya kidato Cha sita hayajatoka kwasababu hakulipia

Sasa tayari kalipia wiki ya pili sasa haoni matokeo yake anaweza fuata hatua gani? Arudi NECTA au azidi kusubiri maana yupo mbali kwasasa.
 
Siku zinakatika tia mguu necta na uende na ushahidi wa malipo.
 
Back
Top Bottom