Habari wadau wa JF naomba kueleweshwa kuhusu utofauti wa fani zitolewazo PASIANSI WILDLIFE TRAINING INSTITUTE na COLLEGE OF AFRICAN WILDLIFE MANAGEMENT (MWEKA). Nini tofauti kati ya askari wa...
Wanajamvi mdogo wangu anahitaji msaada wa ushahuri kuhusiana kozi zifuatazo:
1.Bsc in telecomunication engineering
2.Bsc in soft ware engineering.
3.Bsc in Computer science.
4.Bachelor in public...
wakuu nimejaribu kuchagua hii kozi ya BVM i mean bachelor of veteran medicine pale SUA.
Je hi kozi inakuaje hapa tz kwani nahtaji kuingia huko.
Na je ajira zake zipo za kueleweka ama unaweza...
1.Mpe Mungu nafasi akupe siri ya kipawa/ujuzi unao ambao ndio kusudi ulilobebeshwa katika Ulimwengu Huu.
Mwenye kukiweka kipawa/ujuzi huo ni Mungu. Kaa vizuri na utengeneze na Mungu wa Mbinguni...
Kichwa cha habari kiko wazi hebu toa mifano ya kweli na sahihi popote duniani inayothibitisha kwamba ni hatari kuwa sahihi wakati mamlaka haiko sahihi kazi kwetu
Habari za siku ndugu zangu.
nahitaji kufaham ni jinsi gani utajua umeitwa kwenye usahili kupitia utumishi webiste au ajira portal?
Wanapiga simu? Unatumiwa email? Au kuna njia nyingine ndani ya...
Habari wana jukwaa!
Kwa yeyote aliyesoma hiyo course hapo juu, kwa Tanzania ajira zake zipo vipi? Na ukitaka kuendelea na bachelor utasoma ipi? Na je nchi yetu ina uhitaji mkubwa na hawa...
Kichwa cha habari kiko wazi hebu toa mifano ya kweli na sahihi popote duniani inayothibitisha kwamba ni hatari kuwa sahihi wakati mamlaka haiko sahihi kazi kwetu
Nahitaji kufahamu vitu vya muhimu kwa mtu ambaye anaingia mwaka wa kwanza kuchukua degree ya IT vitu vya msingi ambavyo anatakiwa kuwa navyo anapoanza chuo ili nianze kujipanga mdogo mdogo ndugu...
Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Water supply engineering kwa ufaulu wa GPA ya 2.4,Lakini napenda kujiendeleza nisome elimu ya juu degree kwa course inayohusiana na mambo hayo.
sasa naombeni kujua...
Katika pitapita yangu leo kwa mara nyingine nikitokea jijini nimepita maeneo ya chuo cha kilimo(Sokoine university of Agriculture) Morogoro.Mbali na kilimo kama ilivyo title ya chuo wanatoa coarse...
Kwa wana Jf mnao wajua wa tanzania ambao ni vichwa walio hitimu elimu zao za juu, kuanzia na G.P.A za 4.4 up to 5.0 na sasa ivi wako wapi na wanafanya nini, na Je? G.P.A zao zina impact katika...
Wakuu mimi ni 1st year UDSM/COET.
Kama title inavyojieleza naomba nifahamishwe sehemu za kwenda kupata msosi pale mabibo hostel,siwezi kaa campus hata nikipangiwa napenda kaa mazingira mbali na...
Salamu wanajukwaa husika na kichwa cha habari hapo juu nilikuwa naomba msaada au taarifa ni lini result slip za mwaka huu za form six zitatoka lini. Maana wengine kwenye kujiunga na jeshi...
Ulijisikiajeee mtu ambayee ulipata ujumbe kama huu ...baada yaku felii kidato cha nne ...afu ukiangalia wanao kwambiaa watoto wao wamepigaa vizuriii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.