Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
Salamu wanajukwaa husika na kichwa cha habari hapo juu nilikuwa naomba msaada au taarifa ni lini result slip za mwaka huu za form six zitatoka lini. Maana wengine kwenye kujiunga na jeshi zinatakiwa natanguliza shukrani wakuu.