MSAADA NDUGU ZANGU

Bittah

Senior Member
Jul 14, 2018
135
37
Nahitaji kufahamu vitu vya muhimu kwa mtu ambaye anaingia mwaka wa kwanza kuchukua degree ya IT vitu vya msingi ambavyo anatakiwa kuwa navyo anapoanza chuo ili nianze kujipanga mdogo mdogo ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom