Taarifa kwa waombaji wa mkopo

Taarifa kwa waombaji wa mkopo

huko mbali. wangeweka 15.09.2018
Mwaka Jana kulikuwa na tatizo LA multiple selection hivyo hamishahamisha MIKOPO kutoka chuo kimoja kwenda kingine nitatzo kwa wanafunzi...

Pengine hlo halitajirudia mwaka huu maana ratiba ya TCU kuhusu admission haifiki tarehe15 October hivyo imekaa vizur.....

Mkopo hautapelekwa chuo tofauti na alichopata mwanafunzi kutokana na hizo multiple selection

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom