Kufeli shule sio kufeli maisha

Kufeli shule sio kufeli maisha

micky 00

Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
98
Reaction score
98
Ulijisikiajeee mtu ambayee ulipata ujumbe kama huu ...baada yaku felii kidato cha nne ...afu ukiangalia wanao kwambiaa watoto wao wamepigaa vizuriii...
 
Wewe angalia siku ikiisha umefanyaje kazi halali na umeingiza ngapi ! Hiyo ndio shule nzuri . Hivyo kufeli shule hutashindwa kufanya chochote halali cha kuingiza kipato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada ni yule mbunge wa Geita anayeitwa Joseph Msukuma
 
Ulijisikiajeee mtu ambayee ulipata ujumbe kama huu ...baada yaku felii kidato cha nne ...afu ukiangalia wanao kwambiaa watoto wao wamepigaa vizuriii...
Kufeli mtihani sio kufeli maisha
 
Kweli ila ole wako ufeli na huna mbele wala nyuma utatamani urudi darasa la kwanza
 
Ni msemo wa kuwafariji waliofeli masomo ya shuleni/darasani
Kuna elimu nyingine ya mtaani nako kuna mitihani utahitaji kufaulu
 
Back
Top Bottom