Juan junior
Senior Member
- Jan 26, 2015
- 119
- 20
Habari wana jukwaa!
Kwa yeyote aliyesoma hiyo course hapo juu, kwa Tanzania ajira zake zipo vipi? Na ukitaka kuendelea na bachelor utasoma ipi? Na je nchi yetu ina uhitaji mkubwa na hawa wataalamu?
Ahsanteni!