Wana Bodi, wakati naanza Chuo kikuu degree yangu, nilitamani sana kuwa Lecturer ila sasa, nimegraduate na ufaulu mdogo ambao kimsingi hautoshi kuruhusiwa kufundisha chuo kikuu, bidii ya masomo...
Habari zenu wadau!Me ni mwalimu wa sayansi pamoja na computer yaan ICT, nafundisha chemistry, biology na ICT kwa level zote yaan O & A level, pia nafundisha hesabu kwa O level. Natafuta shule ya...
Habari wana jf,naombeni ushauri kuhusu kozi ya pharmacy ya mwaka mmoja kwa ngazi ya cheti...je ajira zake ziko vipi na upatikanaji wake ukoje?kwa ambaye ana uelewa,ushauri please!
Habari za majukumu wadau naomba msaada nimepoteza vyeti vyangu vya kidato cha nne na sita nipo Kahama naanza na process gan hadi kuvipata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hili swala la wizi ndani ya campas ya mlimani. Mwanzoni nilikuwa nalisikia lakini nilikuwa nalipuuzia as nilikuwa nadhani ni carelessnes ya wahusika. Hatimaye jana yamenikuta!
Jana mnamo mida...
habari wadau..
nipo kwenye research ndogo kuhusu hostel za sinza na mwenge.. ni vizuri nikipata connection ya wanachuo wanaoishi huko.. au waliowahi kuishi hizo hostel..
hata hostel za jirani na...
Natumai hamjambo
Ndugu wanajukwaa la Elimu wenzangu nahitaji kupata msaada wa namna ya kupata nakala ya kitabu(soft copy) ya kitabu cha Ramsden Advanced Chemistry,Kama kuna mtu anaweza kupata.Au...
Morning Guys,
Natafuta sehem wanazo fundisha chinese kwa hapa Dar es Salaam.
Please mwenye kufaham na anijuze.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
First Law
Inertial
an object at rest will stay at rest and an object in motion will stay in motion with the same speed and direction unless acted upon by unbalanced force.
kwa kiswahili
kitu...
Wadau nawasalimu wote,,
naomba msaada wa kujuzwa kama mtu umesomea nje na umeshafanya equivqlence hapa Tanzania je ukisubmit result slip yako na hiyo equivalence wakati wa kuapply AVN utaipata...
Habari ya asubuhi wakuu,
Naomba ushauri ,ni bank gani nxuri na Kwa kigezo kipi kuangalia kabla ya kufungua ..asante Kwa ushirikiano wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.