Mdogo wangu anahitaji msaada wa ushauri kuhusiana kozi zifuatazo

Mwemary

JF-Expert Member
May 25, 2016
328
500
Wanajamvi mdogo wangu anahitaji msaada wa ushahuri kuhusiana kozi zifuatazo:
1.Bsc in telecomunication engineering
2.Bsc in soft ware engineering.
3.Bsc in Computer science.
4.Bachelor in public administration.
Ipi ni marketable na anaweza kujiajiri na kupata kazi kwa urahis
 

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,729
2,000
Wanajamvi mdogo wangu anahitaji msaada wa ushahuri kuhusiana kozi zifuatazo:
1.Bsc in telecomunication engineering
2.Bsc in soft ware engineering.
3.Bsc in Computer science.
4.Bachelor in public administration.
Ipi ni marketable na anaweza kujiajiri na kupata kazi kwa urahis
Weka matokeo ya form six kwanza
 

majoto

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
2,266
2,000
Na. 3 .... anaweza kuwa na kibanda cha kutengeneza simu kariakoo, mambo ya ma programming... nakadhalika !
 

de98

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
697
1,000
KAMA AKITAKA AGUSE POTE INSHU ZA IT MWAMBIE AJE ASOME COMPUTER SCIENCE IKO POA SANA ATAGUSA KILA ANGLE YA IT,TENA COMPUTER SCIENCE UDOM AU UDSM KWINGNE MBWEMBWE
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom