Kujiendeleza Elimu ya juu yaani Degree.

GeorgeGab

Member
Nov 24, 2017
41
17
Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Water supply engineering kwa ufaulu wa GPA ya 2.4,Lakini napenda kujiendeleza nisome elimu ya juu degree kwa course inayohusiana na mambo hayo.
sasa naombeni kujua ni taratibu gani naweza fuata niweze fanikisha adhima yangu,,,, ikiwa kwamba sina kigezo cha kuwa na GPA ya 3.0...?
 
Soma foundation course yoyote ya science halafu mwakani apply university
 
Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Water supply engineering kwa ufaulu wa GPA ya 2.4,Lakini napenda kujiendeleza nisome elimu ya juu degree kwa course inayohusiana na mambo hayo.
sasa naombeni kujua ni taratibu gani naweza fuata niweze fanikisha adhima yangu,,,, ikiwa kwamba sina kigezo cha kuwa na GPA ya 3.0...?
Gpa ya 2.4? Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi nimeshindwa nimsaidie nn!! Angekua miaka yetu ningemwambia aombe chuo sasa kwa serikali ya jiwe na ndalichako wake unadhan gpa ya 2.4 itaweza pata nafasi degree? Au nyie hamuishi tanzania?

Mleta mada fwata ushauri uliopewa hapo juu kuhusu bridge kozi kama itafaa japo sina hakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana
 
Attachments

  • OUT Foundation Course 14.05.2018.jpg
    OUT Foundation Course 14.05.2018.jpg
    137.5 KB · Views: 24
Back
Top Bottom