Kuitwa kwenye usaili kupitia utumishi au ajira portal

Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
14,390
2,000
Habari za siku ndugu zangu.

nahitaji kufaham ni jinsi gani utajua umeitwa kwenye usahili kupitia utumishi webiste au ajira portal?

Wanapiga simu? Unatumiwa email? Au kuna njia nyingine ndani ya website unaweza ona majina ya walioitwa kwenye interview?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
53,999
2,000
Natembelea mara kwa mara lakin bado sijapata kufahamu huwa wanamjulishaje mtu kuwa amechaguliwa ktk nafa
F2B9EC60-0F63-4BAB-A86D-3952B23ECA6E.jpeg
si fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia kwenye website yao. Angalia hapo nilipozungusgia na red. Au sijakujibu bado?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom