G.p.a

G.p.a

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Kwa wana Jf mnao wajua wa tanzania ambao ni vichwa walio hitimu elimu zao za juu, kuanzia na G.P.A za 4.4 up to 5.0 na sasa ivi wako wapi na wanafanya nini, na Je? G.P.A zao zina impact katika maisha ya kijamii
 
Ukishajua walipo utafanyaje?
 
Kwa wana Jf mnao wajua wa
tanzania ambao ni vichwa walio hitimu elimu zao za juu, kuanzia na G.P.A
za 4.4 up to 5.0 na sasa ivi wako wapi na wanafanya nini, na Je? G.P.A
zao zina impact katika maisha ya kijamii

Wengi wao hali zao si haba,hayo mavitu sometimes yanalinda mkuu,ni vema kuyahangaikia kuyapata kama uwezo unao
 
Ulipata G.P.A ya ngapi? Alafu kwani mnajiita wa beba mabox



Nani kakwambia mbeba box wewe? we jitahid upate walau 3.8 and above utapeta tu mkuu, huku nipo kwa issue zangu na kwa muda akipenda Allah nitarudi home
 
sio GPA tu pekee inaweza ku-aspire some one!!

je mwenye GPA kubwa alafu kalost atakukatitisha tamaa!!
mafanikio ya mtu kuna mambo mengi nyuma yake
 
Kwa wana Jf mnao wajua wa tanzania ambao ni vichwa walio hitimu elimu zao za juu, kuanzia na G.P.A za 4.4 up to 5.0 na sasa ivi wako wapi na wanafanya nini, na Je? G.P.A zao zina impact katika maisha ya kijamii
Kama umesoma elimu ya juu, usingeweza kuuliza swali hili.
 
Back
Top Bottom