Hizi Course za Sanaa ya Uigizaji, Filming na Multmedia creations. Kama una kipaji nenda. Au kama unataka kuwa mtaalamu pia nenda. Kuhusu ajira, Nadhani ni sector binafsi na kujiajiri kwa sana.Habar wana jf kuna kozi inaitwa theater and film art ningependa kuifahamu zaidi kwa upana ina husu nini,changamoto zake faida na ajira yake kwa tanzania
Kwanza kabisa ni moja ya kozi nzuri kwa kujiajiri. Wengi watakucheka leo lakin siku ukianza kupokea tenda ndio watakuelewa. Kama unaweza kasome ile ya udom inaitwa multimedia kama sikosei. Ile utasoma mpaka mambo ya IT humo ndani.Kwa apa bongo ni vyuo viwili tu vyenye i kozi udsm na udom vyuo vingine Amna?
Unachanganya madesa udom wanayo film and arts , pia wanayo multimedia ni kozi ya IT hiyo inahusu production tu kama vile animation , game designing , audio recording , video editing , na mengine mengiKwanza kabisa ni moja ya kozi nzuri kwa kujiajiri. Wengi watakucheka leo lakin siku ukianza kupokea tenda ndio watakuelewa. Kama unaweza kasome ile ya udom inaitwa multimedia kama sikosei. Ile utasoma mpaka mambo ya IT humo ndani.
Unachanganya madesa udom wanayo film and arts , pia wanayo multimedia ni kozi ya IT hiyo inahusu production tu kama vile animation , game designing , audio recording , video editing , na mengine mengi