Shule gani bora ya sekondari ukanda wa pwani?

Shule gani bora ya sekondari ukanda wa pwani?

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Wakuu ,binti yangu amemaliza std 7 anangojea matokeo ,alikuwa anasoma Shule ya private huko mwanza sasa tumeamia Dsm kwa hiyo atalazimika kusoma Shule ya sekondari huku ,
Nimeandika hapa kuwaombeni msaada wa ni Shule gani asome ambayo ni nzuri iwe ya serekali au binasifi ,na kama ni binafisi isizidi ada ya 2m kwa mwaka na iwe ya bweni .
Najua humu kuna waalimu na wazazi nisaidieni
 
Marian girls huwa wako vizuri ila ada sijajua ni kiasi gani mkuu.
 
Acha Nasi Tupate Madini Kupitia Thread Hii Ambayo Ni Nzuri Sana
 
Kuna Shule nimeambiwa inaitwa (
kisarawe junior seminary )kuna anaiyeifahamu?
 
Hizo si mpka ajue salam Maria umejaa neema, na ajue kuchora msalama hewan..?
Sio lazima...Ila Ikibainika ni Msabato no Admission....tuliwapa favour ya kupata elimu bora ila mkaleta ushenzi....sasa ni kufyeka....

NB: Catholic Schools must retain its catholic Identity...

1. Morining Mass (every day)
2. Adoration of blessed sacrament
3. Benediction
4.Sunday mass

Hivyo vyote lazima vifanyike...no one will force you to take adm form....
 
Ya boarding nzur iko mbeya ada 1.8 ni wendwa secondary school ini nzur sana.... ina hadi A- level ile shule haina mambo ya dini kila mtu na imani yake.... wako vizur ktk mitihan .
 
Wakuu ,binti yangu amemaliza std 7 anangojea matokeo ,alikuwa anasoma Shule ya private huko mwanza sasa tumeamia Dsm kwa hiyo atalazimika kusoma Shule ya sekondari huku ,
Nimeandika hapa kuwaombeni msaada wa ni Shule gani asome ambayo ni nzuri iwe ya serekali au binasifi ,na kama ni binafisi isizidi ada ya 2m kwa mwaka na iwe ya bweni .
Najua humu kuna waalimu na wazazi nisaidieni
Mitaa ya Kibaha kuna shule inaitwa St Aloyce
 
Back
Top Bottom