Wasomi naomba umnisaidie kati ya kozi hizi nisome ipi?

nkanga chief

JF-Expert Member
May 31, 2016
2,084
1,622
01: Bachelor of art in mass communication
02: Bachelor of art in public administration
03: bachelor of library and information management
04: bachelor of art in sociology.
05: bachelor of art in natural resources management

06: bachelor of community economic development

Je? Nisome kozi ipi yenye manufaa mbeleni?
 
Ko unataka tukuchagulie ndoto ya maisha yako?? Tunakosega hapo tu yan, Kisa mi nlibahatika kupata pessa huku ndo wote wafuate.,,?? Kilichopo moyoni mwako enzi na enzi ndo kitakachokutoa...,, Ndoto zako ni zipi ?? Ukijibu hilo swali utajua usome kitu gani...!

Acha kua bendera
 
mbona hrm safari hii sijaiona ....bossof all boss mzambele almas
 
Unaweza kuajiriwa Kama Nani mkuu?
05. unafanya kazi kwenye environmental orgs dealing with maintaining natural resources, research on effects za pollution, kilimo na better ways to maintain the environment....vi2 kama.ivo

6. maendeleo ya jamii kwa ujumla...projects za kusaidia jamii kama za maji, kilimo, hospitali, etc erc...mostly ni kazi za ngo's, govt, ama companies zinazopractice social responsibility
 
Back
Top Bottom