Mtumwa huru
Member
- Aug 10, 2017
- 57
- 95
Wakuu habari zenu? Kuna tetesi zinaenea kuwa matokeo ya darasa la saba yanaweza kufutwa kutokana na hali ya uzembe ya usimamizi wa mitihani hizi habari zimekaaje wakuu ni kweli au porojo tu!
ni kweli maana hats EATV walikua wanaitoa kama break newsWakuu habari zenu? Kuna tetesi zinaenea kuwa matokeo ya darasa la saba yanaweza kufutwa kutokana na hali ya uzembe ya usimamizi wa mitihani hizi habari zimekaaje wakuu ni kweli au porojo tu!
Shule gani zimefutiwa kwa huku idodomiya?
Kongwa?Wilaya ya Chemba shule zote,moja iko Kondoa mjini
Aliyekamatwa na ngozi ndiye aliyeiba ng'ombeHuu ni UONEVU! Kama ni kufuta wangefuta nchi nzima japo kiwango cha wizi kinatofautiana.
Kama una ndugu darasa la saba au la nne muulize kinachotendeka huko siku ya NECTA.
Wengine wachapwa MAKOFI kwa kutoweka MAJIBU waliyopewa.
Kama hamuamini, fanyeni utafiti kidogo tu mtabaini ukweli.