VETA kila kata

VETA kila kata

IQ M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
616
Reaction score
320
Kwa akili yangu ya kunywea bia naona ni bora kwa billions zinazopelekwa kwenye elimu bure zitumike kujenga veta nchi nzima kila kata ili mtoto wa kabwela akimaliza msingi au sekondari akapate ujuzi bure au kwa gharama nafuu kuliko anajifunza bure kuchomekea na kupiga pasi baada ya msingi au secondari then hakuna anachoweza kukifanya mtaani.
 
Word!!!
 
Kwani we unaelewa veta ni majego au Walimu wa hizo veta plus vifaa vyake?
 
Kwa akili yangu ya kunywea bia naona ni bora kwa billions zinazopelekwa kwenye elimu bure zitumike kujenga veta nchi nzima kila kata ili mtoto wa kabwela akimaliza msingi au sekondari akapate ujuzi bure au kwa gharama nafuu kuliko anajifunza bure kuchomekea na kupiga pasi baada ya msingi au secondari then hakuna anachoweza kukifanya mtaani.
Hizi zako ni akili kubwa mkuu, jivunie kuwa na akili kama hizo na zilinde uwe nazo siku sote za maisha yako, jitahidi familia yako uwarithishe akili kama hizo, sema Veta kwa kila kata hawawezi kujenga ila walau kila wilaya wangeifanga kuwa sera ingewezekana na tija ingepatikana..
 
Kwa akili yangu ya kunywea bia naona ni bora kwa billions zinazopelekwa kwenye elimu bure zitumike kujenga veta nchi nzima kila kata ili mtoto wa kabwela akimaliza msingi au sekondari akapate ujuzi bure au kwa gharama nafuu kuliko anajifunza bure kuchomekea na kupiga pasi baada ya msingi au secondari then hakuna anachoweza kukifanya mtaani.
Ni wazo zuri kama sera ya viwanda itafanikiwa. Wengi wangeweza kuajiriwa huko na uchumi ukapaa.
 
Ndoto za Rwanda kuipa msaada China
Kila kitu ni mipango mkuu...
Wakati wewe unaona China kupewa msada na Rwanda ni ndoto lakini kiuhalisia kuna wakati Tanzania na China walikuwa sawa kiuchumi, cha kujiuliza China ile walifanya nini kilichowapaisha hadi wakaipata China ya ndoto zao? Na je sisi tulikosea wapi..?? Mawazo kama yako yatafanya vizazi vyetu vije kuishi kiunyonge wa hali ya juu ktk umasikini.. Walioitengeneza China ya sasa sio ndio wanaofaidi, usijifikirie wewe...
 
Back
Top Bottom