MASTERS YA MIPANGO MJI NJE YA TANZANIA (MSAADA)

sido9797

Senior Member
Joined
Aug 15, 2018
Posts
160
Reaction score
85
Kama kichwa kinavyosema hapo juu ...ni kuwa ninahitaji kusoma masters ya regional development planning au masters yoyote inayoshabihana na course yangu nje ya Tanzania sasa naomba kusaidiwa utaraibu wa kuomba nje (kuapply) vilevile mambo ya kuzingatia ili nisafiri kufika bodaa...sasa ninaomba kama kuna yeyote ambae anajua chuo kinahusika na maswala ya mipango mji kipo nje naomba unambie jina la hicho au hivyo vyuo na muda wa masomo yake yanaanza lini nahitaji iwe east africA,west africa,south africa au ulaya karibuni wanajf kwa mawazo yenuuuu...[emoji120]

Natanguliza shukrani za dhatiiii
 
Netherland au Uholanzi kuna chuo kizuri sana cha mipango miji.... hata mkuu wa cha mipango Dom alisomea hapo...nenda google kitafute ada zake ni reasonable na wanatoa schoralship kama ulipata GPA nzuri...KILA LA HERI.
 
Asante ..km unafahamu international GPA wanazocondiser ili kujiunga na vyuo vyao unaweza nambia
 
Back
Top Bottom