TCU wamefeli kutumia CODES, kinachofanyika ni chuo husika wanapiga simu kwako moja kwa moja kuthibitisha kama waenda chuoni hapo

Mhujumu Uchumi

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,575
3,515
Baada ya kusubiri codes toka jana bila mafanikio hatimaye leo nimepokea simu tatu, nilipigiwa na ofisi ya admission chuo cha Mipango Dodoma asubuhi, Mcha

Na hivi sasa nnimepigiwa simu kutoka ofisi ya admission CBE Dodoma.

Hivyo basi ninachoweza kuwashauri wenye kusubiri codes kama mimi na hawajatumiwa bado na simu hawajapigiwa kama mimi ni vyema wakapiga simu katika moja ya vyuo walivyochaguliwa na ambacho wanaona ndicho chaguo lako ili uweze ku-confirm.

Binafsi nimeshafanya chaguo langu bila hata kutumia MB zangu, wamenipigia wao wenyewe, MB zangu baadae naingia nazo YouTube

Jamani naomba msaada Jana niliingiza code chuo Cha NIT nikapata ujumbe unsuccessful confirmed usiku wa Leo nimepata code nyingine lakini Kila nikijaribu kuingia kwenye account yangu huo ujumbe wa awali hautoki ili nipate sehemu ya kuweka hiyo code mpya. Msaada wakuu

Jaman mpaka now sija pata code zozote je nifanye nn ili niweze kupata au mwenye namba za TCU naomba
 
Kwa mnaotaka ku_confirm CBE Dodoma namba za admission office (071) 650-2216
 
Naomba kupata number ya SUA asee nicomfirm kwao tu nikajipigie kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa SUA kwa kweli nitakudanganya, sina mawasiliano yao ndugu, nilizoweka hapo juu ni zile nimepigiwa nazo.
Naamini kila chuo kimeweka mawasiliano kwenye website yao, ingia kwenye website ya chuo husika unachotaka kuconfirm naamini hutakosa mawasiliano mkuu.
 
Poleni sana.
Yaani tumetoka kwenye mfumo mzuri tumerudi kwenye ujima
Hovyo sana hii sirikali na thinktank wao

kuanzia leo ieleweke kwamba "Tecno sio Simu"
Huu mfumo mpya ninachotaka kuamini ni kuwa haukufanyiwa majaribio ya kina.P
Errors kibao zimejitokeza kwa kweli imekuwa ni kero sana kwetu waombaji.
Naamini mwaka ujao watakuja na mfumo ulio imara na wenye kueleweka, hapa TCU hakika wamefeli
 
msiingie mkenge...code zitatumwa hao waliokupigia ni katika kukukonvice code ikija ukonfrim kwao..system hairuhusu chuo husika kumfomfimia applicant..waulize saut na udom juu ya mchezo mchafu waliouanzisha juz na jana
 
Baada ya kusubiri codes toka jana bila mafanikio hatimaye leo nimepokea simu tatu, nilipigiwa na ofisi ya admission chuo cha Mipango Dodoma asubuhi,Mcha
Na hivi sasa nnimepigiwa simu kutoka ofisi ya admission CBE Dodoma.
Hivyo basi ninachoweza kuwashauri wenye kusubiri codes kama mimi na hawajatumiwa bado na simu hawajapigiwa kama mimi ni vyema wakapiga simu katika moja ya vyuo walivyochaguliwa na ambacho wanaona ndicho chaguo lako ili uweze ku-confirm.
Binafsi nimeshafanya chaguo langu bila hata kutumia MB zangu, wamenipigia wao wenyewe, MB zangu baadae naingia nazo YouTube

Kuna masomo utapata sup nyingi sana huko chuoni.
 
Wangenipigia vyuo binafsi ningehisi ni watafutaji wanatafuta biashara. Ila vile ni taasisi za serikali sina shaka nao mkuu
 
Baada ya kusubiri codes toka jana bila mafanikio hatimaye leo nimepokea simu tatu, nilipigiwa na ofisi ya admission chuo cha Mipango Dodoma asubuhi,Mcha
Na hivi sasa nnimepigiwa simu kutoka ofisi ya admission CBE Dodoma.
Hivyo basi ninachoweza kuwashauri wenye kusubiri codes kama mimi na hawajatumiwa bado na simu hawajapigiwa kama mimi ni vyema wakapiga simu katika moja ya vyuo walivyochaguliwa na ambacho wanaona ndicho chaguo lako ili uweze ku-confirm.
Binafsi nimeshafanya chaguo langu bila hata kutumia MB zangu, wamenipigia wao wenyewe, MB zangu baadae naingia nazo YouTube

Kuna masomo utapata sup nyingi sana huko chuoni.
 
Baada ya kusubiri codes toka jana bila mafanikio hatimaye leo nimepokea simu tatu, nilipigiwa na ofisi ya admission chuo cha Mipango Dodoma asubuhi,Mcha
Na hivi sasa nnimepigiwa simu kutoka ofisi ya admission CBE Dodoma.
Hivyo basi ninachoweza kuwashauri wenye kusubiri codes kama mimi na hawajatumiwa bado na simu hawajapigiwa kama mimi ni vyema wakapiga simu katika moja ya vyuo walivyochaguliwa na ambacho wanaona ndicho chaguo lako ili uweze ku-confirm.
Binafsi nimeshafanya chaguo langu bila hata kutumia MB zangu, wamenipigia wao wenyewe, MB zangu baadae naingia nazo YouTube
Bora ile system ya zamani ambayo unaapply tcu moja kwa moja
Ila madogo kuweni wavumilivu tuu kila kitu kitakuwa sawa
 
Poleni sana.
Yaani tumetoka kwenye mfumo mzuri tumerudi kwenye ujima
Hovyo sana hii sirikali na thinktank wao

kuanzia leo ieleweke kwamba "Tecno sio Simu"

Dah umetukana kwa kifunbo,
Kwamba “Tecno sio Simu”
 
Back
Top Bottom