Nina nia ya kufanya siasa nzuri na yenye tija kwa nchi yangu nisome shahada gani na chuo gani tofauti na UDSM lakini nikiwa muumini wa amani duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habarini za Leo.!!
Kijana wangu kamaliza LA saba lakini hakufanikiwa kuchaguliwa.
Nataka nimpeleke Veta ...lakini nimeambiwa fani zinazoendana na yeye kama darasa LA saba ni ufundi...
Naona hiki chuo kimeleta changamoto kubwa sana lakini pia nadhani kuna la kujifunza hapa
Uchambuzi wa kina pia unahitajika
MAONESHO ya Elimu ya Juu yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja...
Habari wana jamvi nimemaliza form four mwaka jana (2017) na nimepata division 3 ya 25
Bios c,hist D,math F,geo C,kisw D,eng D,civ C,fine art D
Naweza kuapply chuo Gan Na nitasomea faculty gan au...
Habari wana jamvi. Mimi nimuhitimu wa kidati cha nne (2017) nimebahatika kupata Division 4 ya 31 lengo langu nahitaji kusoma chuo. Naitaji kuwa Producer(Film,Tv station, & Radio) Ningependa...
Habar wanajf kuna kimdogo changu kilikua kinataka kuangalie student information verification kwenye web ya nacte akafata procedures zote ikafika sehemu akaambiwa aweke reg no ya 4m4 lakini akakuta...
Wakuu habar za adhuhuri. Naitaj msaada kwenu nna diploma ya clinical medicine nliyopata GPA ya 4.0 je wakuu endapo nikienda shule mwaka huu kama nilivopanga ntaweza chaguliwa chuo gani MD kwa...
Wakuu habar za adhuhuri. Naitaj msaada kwenu nna diploma ya clinical medicine nliyopata GPA ya 4.0 je wakuu endapo nikienda shule mwaka huu kama nilivopanga ntaweza chaguliwa chuo gani MD kwa...
Habari wana Jukwaa la Elimu.
Naomba mwenye Hard Disk ( CD Au DVD) Za masuala ya Elimu, Hasa zenye Novels na Plays za Kidato cha 4, Kama vile THE BLACK HERMIT, THIS TIME TOMORROW, THREE SUITORS ONE...
Habari,
Nahitaji mitihani "past papers" ya somo LA maarifa ya jamii/ social studies iliyofanyika mwaka huu 2018.
Itakuwa vizuri zaidi kama nitapata mitihani ya mock wilaya au mock mkoa, Ila hata...
Mitihani ya vyuo vinavyosimamiwa na NACTE husimamiwa na wasimamizi wa nje wanaotoka vyuo tofauti.Hili ni jambo zuri.Ila zipo changamoto zilizotengenezwa maksudi ama kwa kutokujali zinazofanya...
Salaam Wakuu.
Heshima kwenu wakubwa.
Thread hii ni mahususi kwa wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu ambao kwa namna moja au nyingine mikopo yao imeenda vyuo tofauti na vile ambavyo wanasoma sasa...
Matokeo ya mtihani wa kidato chat pili 2018 yametoka. Gusa link hapo chini kuya fungua. Shule zote ziko hapo
https://www.tanzania.go.tz/FTNA-2018/index.htm
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia...
Habari.
Tukiwa tumebakisha masaa tu kuuaga mwaka, Tumshukuru sana Mungu huku tukiomba mwaka ujao 2018 uje na baraka zake.
Moja ya makusudio yangu kwa mwaka ujao ni kujifunza lugha ya Kifaransa...
Habari wapendwa wa maeneo haya,mimi ni kijana ambaye nimemaliza kidato cha nne na nipo na division four(4) ya 32.Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2015 naitaji maelezo kuhusu kupata course ya Tours...
Wanafunzi wote mliosoma shule ya msingi mlimani kwa kipindi chochote miaka ilipita tunaomba uje katika mkutano jumapili tar 18/08/2013 ,saa 9 pale brajeck karibu na survey na mlimani city,njoo...
kuna maswali nimejiuliza sana. wanasema syllabus ya mashule kuanzia primary hadi chuo kikuu wanataka kitumike kiswahili. kichwani kwangu nimejiuliza maswali mengi sana.
1. Pale chuo kikuu...
Kwanza kabisa kabla sijaendelea na penda kusema asante kwa wale wote walio ni sahau mimi ni yule mwanafunzi niliyepata 1 ya 7 na nikakosa chuo hadi hawamu ya 3 ndipo nikaja hapa kuomba ushauli na...