Fani gani itamfaa kati ya ufundi ujenzi na ushonaji?

Fani gani itamfaa kati ya ufundi ujenzi na ushonaji?

MNEKI

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
992
Reaction score
1,311
Wakuu habarini za Leo.!!

Kijana wangu kamaliza LA saba lakini hakufanikiwa kuchaguliwa.

Nataka nimpeleke Veta ...lakini nimeambiwa fani zinazoendana na yeye kama darasa LA saba ni ufundi uwashi(ujenzi) na cherehani(ushonaji)

Kwa maoni yake kaniambia nimchagulie fani yoyote tu yuko tayari kujifunza kwa bidii kuliko kundelea na sekondari ya private.

Sina uzoefu hizi fani mbili ,,, naomba tupeane uzoefu , ,aelekee wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro kweli ?? Si uhangaike amalize form 4 hata kwa njia ya QT. Msaidie huyo dogo apate hata elimu ya form 4 jamani

Yani enzi hizi mtu asiwe na form 4 ataishi kweli?? Heb fanya namna bana
 
Bro kweli ?? Si uhangaike amalize form 4 hata kwa njia ya QT. Msaidie huyo dogo apate hata elimu ya form 4 jamani

Yani enzi hizi mtu asiwe na form 4 ataishi kweli?? Heb fanya namna bana

Naiona hali yake si ya kuendelea na sekondari na istoshe mwenyewe ameona ufundi utamfaa.

Pia kumbuka kuna formal na informal education.
 
Fani za kushona ataishia kupata hobby nyingine kama za kina martin kadinda.
 
Back
Top Bottom