Msaada jamani

Msaada jamani

dranx

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
189
Reaction score
84
Habari wana jamvi nimemaliza form four mwaka jana (2017) na nimepata division 3 ya 25
Bios c,hist D,math F,geo C,kisw D,eng D,civ C,fine art D
Naweza kuapply chuo Gan Na nitasomea faculty gan au nireseat
Natanguliza shukrani zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Before ya kusoma kitu,wewe unataka kuwa Nani Kwanza,maaana sifa ya kwenda kusoma Chuo kikuu unazo Kama utaanzia certificate,diploma then degree maaana guide book ya TCU huwa wanasema diploma with five passes kwa Olevel but unataka kuwa nani ili ujue urseat ili upate sifa au ukasome hicho unachotaka kwa sifa hizo hizo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tour guiding kuna probability kubwa ya kukubaliwa but wana consider sana english uwe na pass angalau C
 
Kareseat utoe hiyo F ya maths then utaapply mwakani.
 
Habari wana jamvi nimemaliza form four mwaka jana (2017) na nimepata division 3 ya 25
Bios c,hist D,math F,geo C,kisw D,eng D,civ C,fine art D
Naweza kuapply chuo Gan Na nitasomea faculty gan au nireseat
Natanguliza shukrani zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kaka mbona matokeo yako yako poa saaana hakuna haja ya kuresit kaka hapo soma mambo ya health system management hautakuja kujuta please usiresit may be kama unataka kusoma science career ndio itakuwa ngumu coz una F ya math
 
Habari wana jamvi nimemaliza form four mwaka jana (2017) na nimepata division 3 ya 25
Bios c,hist D,math F,geo C,kisw D,eng D,civ C,fine art D
Naweza kuapply chuo Gan Na nitasomea faculty gan au nireseat
Natanguliza shukrani zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa matokeo haya, nakushauri ukanze certificate ya misitu....baadae unaweza jiongeza na kusomea hayo mambo ya tourism

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom