True Ink Associates would like to Announce that the CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes is scheduled to commence on Monday 15/10/2018, Dar Es Salaam City Center, Golden...
Za muda waungwana?
Niliwahi kuona rasimu fulani ilitolewa na TSC miaka kama miwili iliyopita.
Katika ile rasimu, ilionesha kuugawa Utumishi wa mwalimu katika makundi matatu.
Nilioona INA mashiko...
Habari humu!! Hi post pia nimeiwekena kule kwenye jukwaa la technology sababu pia inahusu masula ya technology.
Ningependa kuanza moja kwa moja kwamba nimetengeneza app hii kwa ajil ya kumsaidia...
Helo guys
Kwa waliosoma majengo enzi hizo mtakumbuka kuwa akina Sabas oisso (mwanafunzi wa majengo sec aliekuwa wa 8 kitaifa) na Laurent shillingi (mwanafunzi wa majengo sec (moshi) ambae tangu...
Wakuu, habari za muda huu na heri ya mwaka mpya 2019.
Moja kwa moja tujikite katika mada hii kama inavyosema hapo juu.
Masomo tajwa hapo juu ni moja ya masomo yenye ukakasi katika ufaulu...
Wakuu kuna mdau namfahamu anadai refund HELSB ..alikatwa zaidi ya alichokopeshwa na HELSB walifanya hesabu na kujua kweli wali overdeduct sasa zaidi ya miaka mitatu refund haijalipwa.
Najua...
Jaman naomba mnijuze tena, mimi ni mwanachuo mwaka wa 2, mpaka Sasa sijasaini hela ya kujikimu (boom) so katika ufatiliaji Kwa loan officer pamoja na waziri wake, wakasema allocation zimekuja Kwa...
Habarini sa asubuhi ndugu zanguni. Heri ya Christmas na mwaka mpya.
Ndugu zanguni, naombeni msaada wenu, mwanangu kachaguliwa kujiunga na shule ya sekondari Kazima-Tabora, lakini sijapata Joining...
Wakuu nimelikumbuka sana hili shairi lililoandikwa na Marjolie Oludhe;
Atieno washes dishes,
Atieno plucks the chicken,
Atieno gets up early,
Beds her sacks down in the kitchen,
Atieno eight...
Ninamdogo wangu maendeleo yake kimasomo ni mazuri mana form 2 ,alipata alama A katika masomo yake yote, sasa anaingia Form 4.
Achague comb gani itakayo mpa nafasi ya kusoma coz ambayo zinasoko...
Habari ndugu natafta scheme of work ya commerce nimegoogle nimekosa kama kuna mtu anafahamu nitapta wapi tafadhali naomba mnisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za asubuhi wanajukwaa, kwa sasa vijana wengi wamekuwa wafikiria kujiajiri baada ya kumaliza chuo badala ya fikra ya kizamani ya kufikiria kuajiriwa baada ya kumaliza chuo hii imepelekia...
Nina mdogo wangu alichaguliwa chuo Fulani degree na mkopo alipata, kutokana na Ada ya chuo kuwa kubwa na pia kozi hakuipenda aliamua kwenda kusoma nursing chuo cha serikali ngazi ya certificate na...
Wadau, ninajickia hamu ya kuingia veta kusomea fani ya umeme Wa magari kwa short course lakin, mwenye uzoefu na fani hii anisaidie kunipa dondoo muhimu, kozi ya muda mfupi inachukua muda gani...
Kwa miaka yote nilioishi Tanzania sikuwahi kujua kuwa wale wanafunzi wanaomaliza darasa la saba shule za English Medium kumbe nao wanapangiwa hizi shule za kata (za wananchi).
Leo, ndio nimejua...
Orodha ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza kwa mwaka 2018 zina patikana ktk websites za wilaya mbalimbali na katika mbao za matangazo katika wilaya hizo
hapa chini ni baadhi ya wilaya...
Wakuu habarini!
Kwa wale wanaojua zaidi kuhusu hiki chuo naomba wareply niwatafute. Namaanisha kwa wale wanaokijua vyema na maybe waliwahi kusoma.
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.