dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,476
- 2,087
Habari.
Tukiwa tumebakisha masaa tu kuuaga mwaka, Tumshukuru sana Mungu huku tukiomba mwaka ujao 2018 uje na baraka zake.
Moja ya makusudio yangu kwa mwaka ujao ni kujifunza lugha ya Kifaransa.
Katika kulifikia hili nafanya maandalizi.
Hivyo,
Niwaombe rasmi wadau kwa yeyote mwenye 'Materials' za kujifunzia lugha ya Kifaransa anisaidie.
Nahitaji:
Vitabu, Audi CD/DVD au VCD.
Nitapokea kutoka kwa yeyote mwenye moyo wa kutoa lakini BILA MALIPO
(Si-nunui)
Pia nakaribisha MAONI na USHAURI.
Ikipendeza, vilevile nawaalika wote katika dunia ya kuongeza maarifa haya.
Mungu atawalipa mtakapo punguza,
Na tukijaaliwa Uhai na siha mwakani mwishoni nitaleta mrejesho hapa.
Mawasiliano yangu :
+255-714-59-15-48.
[HASHTAG]#dalalitz[/HASHTAG] (General Broker)
Asanteni.