Nacte

Nacte

omary khamis

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
402
Reaction score
77
Habar wanajf kuna kimdogo changu kilikua kinataka kuangalie student information verification kwenye web ya nacte akafata procedures zote ikafika sehemu akaambiwa aweke reg no ya 4m4 lakini akakuta wamemuandikia information missing sasa hapa ni kwamba chuo bado hawajatuma taarifa za uyu kijana nacte au nini shida? Msaada kwa wale wazoefu wa haya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry! Hivi maombi ya diploma yanafunguliwa lini wakuu?
Nataka nirejee tens kusoma CO.
 
Habar wanajf kuna kimdogo changu kilikua kinataka kuangalie student information verification kwenye web ya nacte akafata procedures zote ikafika sehemu akaambiwa aweke reg no ya 4m4 lakini akakuta wamemuandikia information missing sasa hapa ni kwamba chuo bado hawajatuma taarifa za uyu kijana nacte au nini shida? Msaada kwa wale wazoefu wa haya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
"Kuna kimdogo changu kilikuwa kinataka" Omary una dharau. Ni mha wa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom