Shule yenu mliyosoma imechoka balaaaaaa soon itavunjwa.Naona inejengwa mpya pembeni ni ya kisasa inapendezaWanafunzi wote mliosoma shule ya msingi mlimani kwa kipindi chochote miaka ilipita tunaomba uje katika mkutano jumapili tar 18/08/2013 ,saa 9 pale brajeck karibu na survey na mlimani city,njoo ukutane na wanafunzi wenzako wa zamani,karibuni sana
Waonane ili waanze kuchorana nani yupo vizuri nani kachokaBasi Sawa ila naona muda umepita mkuu