Habari za muda huu wanajukwaa?
Moja kwa moja kwenye mada:-
Nina rafiki yangu yeye ni mtumishi wa umma ana mpango wa kuandika tangazo la kutafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi wilaya...
Kwa wale waliotazama movie ya Troy watakuwa wanamtambua Achilles. Huyu alikuwa mpiganaji mzuri sana kwenye historia ya wagiriki lakini nilipojaribu kusoma mtandaoni nilikuta maelezo kuwa mtu huyu...
Habari wana JF
Naomba kufahamishwa kuna awamu ngapi za mtihani wa leseni pharm tech unaotolewa wa baraza la pharmacy
Na pia intake inayofuata ni tarehe ngapi kwa mwaka huu 2019?
Asante kwa...
Habari za muda huu wakuu!
Nafanya all kinds of data activities including Data analysis for both qualitative and quantitative data using SPSS and Excel kwa ubora na kiwango cha hali ya juu.
Pia kwa...
Muonekano wa KITM.
Chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) kilichopo katika jengo la Mama Ngoma, Mwenge na Afrikasana, Sinza jijini Dar es Salaam, kimeendelea kutoa...
Wakuu natafuta shule ya Private Dar ya boarding, ya bweni . Kama ipo karibu na Dar au Pwani itakua poa. Mtoto ni wa kike amemaliza la saba mwaka jana na amefaulu. Nataka nimpeleke private
Sent...
Habari wanajamvi
Mimi ni miongoni mwa wahitimu wa chuo kikuu mwaka huu katika fani ya elimu wa masomo Economics na Geography.na form six nilisoma kombi ya HGE yaani History,Geography na...
Salam wanajamvi.
Mi ni muhitim wa kidato cha sita mwaka huu. Nimepangiwa jkt MGAMBO TANGA. Nafikiria kutoenda coz Kuna ishu nafanya inayonipatia kipato kinachoniwezesha kuisaidia familia Yangu...
Habat wana jf. Nimearisha masomo udsm coz sijapata mkopo hivyo Niko kitaa nifanye issue gani iliniweze kuendesha life LA mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeshaanza tayari kufuatilia vitabu hivi:
1.Moby Dick, by Herman Melville
2.Only the Paranoid Survive, by Andrew S. Grove
3.The Innovator's Dilemma, by Clayton Christensen
4.The Tao of...
Habari zenu wanandugu?
Naomba kufahamishwa,tovuti ambayo naweza kupata kalenda ya elimu kwa mwaka huu wa 2019 kwa shule za Tanzania,au hata mwenye Soft copy anisaidie kuipata
Sent using Jamii...
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUSOMA "DEGREE" BILA KUPITA "FORM SIX".
Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Pro.Joyce Ndalichako amepiga marufuku wanafunzi kujiunga na masomo ya Shahada (degree) bila...
Who are Opera News’s Student Ambassadors?
Opera News relies on Student Ambassadors to help spread our mission across the globe.
Our main office is in Oslo, Norway and our branches are in more...
Wakuuu poleni na majukumu!!
Naomba kujulishwa vyuo (college) vyote vinavyotoa diploma au certificate upande wa education, ukiondoa university zilizo hapa jiji pendwa la Dar es salaam....
Pont of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.