• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Msaada wana jamvi

boymakini

boymakini

New Member
Joined
Jan 5, 2019
Messages
1
Points
20
boymakini

boymakini

New Member
Joined Jan 5, 2019
1 20
Habari wana jamvi. Mimi nimuhitimu wa kidati cha nne (2017) nimebahatika kupata Division 4 ya 31 lengo langu nahitaji kusoma chuo. Naitaji kuwa Producer(Film,Tv station, & Radio) Ningependa mnisaidie. Nichuo gani naweza soma na nikajiendeleza kimasoma kwa nafasii hii ninayo taka kusomea.Asanteni
NATANGULIZA SHUKRANI KWENU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,403,209
Members 531,118
Posts 34,417,319
Top