Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

habari ya sasa hivi mm ni finalist hapa chuo kikuu cha dar es salaam nilikuwa naulizia unaweza ukaunga kusoma master
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Wacheni kuangalia series A-level Physics takers, brush your brain here from your quarantines. (a) State the quantity that is not conserved in an inelastic collision. (b) Calculate the impulse...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Samahani nahitaji kuuliza kuna course inaitwa uunganishaji vyuma (steel fixation) kama kuna anayejua ni chuo gani nlkinatoa course hiyo hasa kwa vyuo vya veta na namna ya kufanya application...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni vema ukatumia muda huu kuvirejesha hata kama una mvi kichwani
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini wana JF wenzangu... Mimi ni mwalimu wa "Mathematics" ambae katika degree yangu ya kwanza nilispecialize katika Maths lakini pia nilikua na courses zingine kama Educational Psychology...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Wanafunzi wa Form Six bila shaka wapo kwenye maandalizi ya mitihani yao ya kumaliza na baada ya hapo kujiunga na vyuo mbalimbali. Kuna bwana mdogo amejitolea kufundisha bure kabisa kwa njia ya...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Salaam wakuu, Kwa wale ambao washawahi kusoma online, napenda kufahamu zaidi jinsi program zinavyoendeshwa na kila kitu Kwa ujumla Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Post zangu kwenye thread hii zitakuwa ni ndefu kidogo kwa kina kuliko nilvyozowea kuandika. Mara kwa mara zitakuwa zinaambatana na video za Youtube kusupport maneno yangu. Zisome ukizingatia hali...
3 Reactions
84 Replies
47K Views
Wizara ya elimu imetoa rasimu ya mabadiliko kwenye mfumo wa elimu chini ya utaratibu huo elimu ya msingi inaunganishwa na sekondari o level hivyo elimu ya msingi itakuwa miaka kumi na itafundishwa...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Naomba ushauri juu ya program hii, Naenda somea UDSM GPA 3.9 undergraduate (BA.ed) Je, ajira nitapata na mbali ya kuwa mkufunzi ni faida ipo nyingne nitaipata yani naweza kuwa employed wapi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari, Naomba kwa wenye ufahamu wa haya yafuatayo tushirikishane. Upepo hutokea wapi? Kati ya Sea breeze/ Land breeze na Upepo (Wind) kipi kilianza? Kwa nini maji ya kutengeneza kwenye dimbwi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za humu wadau, Mimi ni muhitimu wa shahada katika Chuo kimoja wapo hapa Bongo. Je, ninaweza kupata fully- funded scholarship nikasome master’s yangu USA katika fani za technology au...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Nikiwa Form 5 Moringe Sokoine Sec tuligoma A-level wote kisa kukataa kufanya usafi dining na library wakati huo Lowasa akiwa Waziri wa Maji na ndio Mwenyekiti wa bodi ya shule tukapigwa suspension...
21 Reactions
218 Replies
29K Views
Technology during a pandemic Experiencing people participating in gatherings like social events, markets and even in political events was normal in the world. It made people feel that they were...
4 Reactions
0 Replies
529 Views
Wakuu kwema? Nataka Kahama chama cha waalimu Tanzania (CWT) Je, Kuna vyama gani vingine mbadala tofauti na CWT? Kama Kuna mtu anavifahamu naomba anipe na mawasiliano ya Viongozi wa hivyo vyama.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Rejea kichwa cha habari wana JF, Naombeni msaada kujua ni wapi kwa Dar es salaam hii naweza kupata mafunzo ya kazi hii. Kama ni veta au chuo chochote itakiwa vyema sana. Hiyo picha hapa chini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamii nina shida na mtu anaesoma molecular biology and biotechnology UDSM, vizur zaid awe mwaka wa kwanza. Kama yupo anitumie text kwenye namba 0768724501. Asanteni wapendwa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kijiji kilivuna jumla ya magunia 200 ya mazao mbalimbali, Iwapo ⅕ ni maguni ya maharage, 1/10 ni magunia ya mahindi na sehemu iliyobaki ni ya zao la mtama, je kijiji kilivuna magunia mangapi ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Niliaffectiwa na misuko suko ila saizi nina utofauti na hali iliyonipata nikiwa shule mana ilifika mda nilikuwa kama nimechanganikiwa lakini saizi nipo nyumbani naona hali yangu imetulia akili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MAANA YA ARDHI. Kuna tafsiri nyingi za ardhi kulingana na uelewa wa mtu mmoja mmoja lakini kwa mujibu wa miongozo ya nchii yani katiba, sera, sheria za ardhi pamoja na kanuni na taaratibu mbali...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Back
Top Bottom