kusoma master

kusoma master

Joined
Apr 4, 2019
Posts
78
Reaction score
52
habari ya sasa hivi mm ni finalist hapa chuo kikuu cha dar es salaam nilikuwa naulizia unaweza ukaunga kusoma master
 
Ndio unaweza
[unatumia vyeti gani admission inaanza wa kumi na moja au wa kumi hapo vyeti sivinakuwa havijatoka kaka au unause provisional results ndo nataka kujua kaka nataka kufanya hivyo Kama possible
 
It is a big deal. Unaweza kupimwa umakini wako kuanzia hapo.
ww hukupaswa kunicriticize Kwanza ungenipa ushauri kuhusu mada yangu then hayo mengine ingekuwa next chapter mbona ilikuwa simple sana ww utakuwa complicator tu
 
Back
Top Bottom