Nahitaji kujifunza EPOXY, wapi naweza kupata mafunzo?

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
30,665
37,212
Rejea kichwa cha habari wana JF,

Naombeni msaada kujua ni wapi kwa Dar es salaam hii naweza kupata mafunzo ya kazi hii. Kama ni veta au chuo chochote itakiwa vyema sana.

Hiyo picha hapa chini ndio kazi yenyewe hiyo.

images.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom