Naomba ufafanuzi kuhusu sula la kusoma Masters nchini Marekani

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,415
2,140
Habari za humu wadau,

Mimi ni muhitimu wa shahada katika Chuo kimoja wapo hapa Bongo. Je, ninaweza kupata fully- funded scholarship nikasome master’s yangu USA katika fani za technology au engineering.

Kama ninaweza, Je, utaratibu upoje? Au kama kuna mtu aliwahi kupata scholarship Marekani kwa fani tajwa hapo juu ntafurahi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja waje wataalamu. Lakini sponsorship hasa fully funded ni ngumu kwa sasa ukizingatia na hii #covid19
 
Tembelea mtandao wa ubalozi wa Marekani sehemu inayozungumzia skolashipu: The Fulbright Foreign Student Program | U.S. Embassy in Tanzania

Hii ina ushindani mkali miongoni mwa waombaji, lakini ni skolashipu yenye malengo ya kuwawezesha Watanzania wapate fursa ya kusoma Marekani, na Wamarekani kuwafahamu Watanzania na utamaduni wao; na Watanzania kuwafahamu Wamarekani na utamaduni wao.
 
Aisee shule ngumu mtu akipata degrii au mastars nsmuheshimu sana mana mm ni std 7 elimu yangu

121.
 
Back
Top Bottom