Niliaffectiwa na misuko suko ila saizi nina utofauti na hali iliyonipata nikiwa shule mana ilifika mda nilikuwa kama nimechanganikiwa lakini saizi nipo nyumbani naona hali yangu imetulia akili inakuwa na mawenge endapo tu nimetulia na nipo peke angu ila najiona nimepoteza sana mood ya kusoma kutokana na misuko suko iyo naomba ushauri nitumie njia gani ili mood yangu irudi kama hapo awali au nikienda chuo na tutakapoanza kusoma ndipo mood itarudi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app