Ifahamu maana ya ardhi

Surveyormunkondya

New Member
Dec 22, 2019
3
45
MAANA YA ARDHI.
Kuna tafsiri nyingi za ardhi kulingana na uelewa wa mtu mmoja mmoja lakini kwa mujibu wa miongozo ya nchii yani katiba, sera, sheria za ardhi pamoja na kanuni na taaratibu mbali mbali zimeeleza ardhi kama ifuatavyo;

Ardhi ni sehemu yote iliyo juu na chini ya uso wa nchi, vitu vyote vyenye kuota kiasili juu ya nchi, majengo na miundo mingineyo iliyokaziwa kwa kudumu juu ya ardhi.

ANGALIZO
Kimsingi, petroli na aina zote za madini zinazopatikana chini ardhi sio sehemu ya ardhi. Hata hivyo kwa makusudi ya sheria na taratibu za nchi petrol na aina zote za madini zimeondolewa katika tafsiri ya ardhi ili kuwezesha matumizi na umiliki wa pamoja kitaifa.

imetolewa na
Surveyormunkondya
(Mpima ardhi na mtaalamu wa masuala ya ardhi).

Kwa ushauri juu ya masuala ya ardhi yaani;
-Kujua matumizi ya ardhi yako
-ukubwa wa eneo lako
-kukagua kiwanja au nyumba kabla hujanunua.
-kupimiwa ardhi
-kutaftiwa hati miliki
-kuoneshwa mipaka ya eneo lako.
-ushauri kabla ya kununua kiwanja au nyumba.

Mawasiliano.
Calls& whatsapp
0765532858
0673540985

Au fika ofisini Lufungira, Mwenge, Sam Nujoma road katika jengo la SAVEI PLAZA ground floor.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bexb

Member
Oct 24, 2016
77
150
Wanasheria wanasema 'qui quid pranratur soso cedit' ndo definition ya land
 
Top Bottom