Kufunguliwa shule na changamoto ya muda

Kufunguliwa shule na changamoto ya muda

Ba Razaack

Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
31
Reaction score
41
Wana JF,

Tarehe 29 shule zote zinaenda kufinguliwa, ila Changamoto kwa upande wangu ni haya masaa mawili yaliyoongezwa, Kwa mwalimu anaekaa Mbagala af kazi anafanyia Makumbusho cna uhakika kama huu mda utakuwa rafiki kwake kutoka saa 11:30 Makumbusho then arudi Mbagala na apate muda wa kupumzika.
 
Wewe unataka kugomesha juhudi za kimaendeleo alizo azisha mkuu, hivi anaposema ""chapeni kazi Kwelikweli"" ww huwa haumuelewi
 
Wewe mwalimu utakaaje huku uswahilini halafu mbali na kazini.. Matatizo mengine mnasababisha nyie wenyew
 
Walivyokuwa wwnafurahia kula mshahara miezi 3 bure na wenzao private mishahara ikisitishwa ndo hayo masaa mawili yanalipwa hivyo:
 
Serikali imeghairi[emoji116]

Screenshot_20200702-123509.jpg
Screenshot_20200702-123402.jpg
 
Wana JF,

Tarehe 29 shule zote zinaenda kufinguliwa, ila Changamoto kwa upande wangu ni haya masaa mawili yaliyoongezwa, Kwa mwalimu anaekaa Mbagala af kazi anafanyia Makumbusho cna uhakika kama huu mda utakuwa rafiki kwake kutoka saa 11:30 Makumbusho then arudi Mbagala na apate muda wa kupumzika.
Ishu siyo sana kwa upande wa walimu.Mwalimu ni mtu mzima anaweza akapangilia mambo yake vizuri. Wasiwasi wangu mkubwa ni juu ya hawa watoto. Fikiria adha ya usafiri mijini na ndo anatoka muda huo mbaya.atafika nyumbani saa ngapi, atafanya home work saa ngapi. Tusipoangalia mimba zitaongezeka nyingi sana na wavuta bangi wengi kwani watoto wengi watafika majumbani usiku na mida hiyo ni rahisi kukutana na vishawishi njiani.

Sijui serikali yetu tukufu haikuwaza hilo? Muda wa kurudi si rafiki kabisa kwa mazingira ya mijini.Kwa mazingira ya vijijini watoto wengi wanatoka mbali na shule.wanatembea kwa miguu hadi afike nyumbani ni mtihani mwingine.Utakuta anavuka misitu,mito n.k Serikali kuna haja ya kuliangalia upya suala hili.
 
Back
Top Bottom