Kozi gani ya Afya itakayonifaa kwa ufaulu huu?

Jun 30, 2020
17
4
Je, ni kozi hipi ya afya yenye soko at moment itakayo nifaa kwa ufahuru wangu huu;

Bio-. C
Chem- D
Geography- C
Physics -D
English- C
Kisw - B
History - C
Math-. F
Civic- C
Literally-C

Division II, Point 20
Form Four 2019

Screenshot_20200629-191835.jpg
 
Unaweza kusoma ila private gvt ushindani mwaka huu mkubwa sana maana Certificates imebaki kwa chuo kimoja tu nacho Njombe cotc.

Nakupa mbinu kama unataka clinical medicine kwa vyuo vya serikali una njia mbili.
1.Omba pharmacy kwa chuo chenye clinical medicine ukipata ukifika huko unaomba kuhama kozi Mtwara ndio bora kwako.
2.Anziachuo cha private soma mwaka mmoja faulu fresh bila sup kisha omba uhamisho.
Vipi about clinical medicine
 
Nimekupata mzazi
 
Vipi about clinical medicine
Clinical medicine ushindan n mkubwa afu ina refer sana ajira, lakini pharmacy na medical labs ina refer kujiari pia,
> pharmacy utafungua duka la dawa.
> medical labs unafungua maabara yako binafsi unatoa huduma ya vipimo.
 
Back
Top Bottom