Tafadhari njoo tumpe ushauri huyu kijana kwa haya matokeo

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
441
350
Jinsia ya kike
Amemliza 2019 matokeo yapo kama hivi
civics C
Bios C
Chemi D
English C
Geo C
Hist D
Kiswah C
Math F
Phy D

Amechaguliwa INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING - DODOMABTCRDP - RURAL DEVELOPMENT PLANNINGOther CollegeDODOMA CC - DODOMA

Anaomba ushauri juu ya hii kozi ingawa yeye hakuichagua wala hajaipenda
 
Kuna coarse kuzisoma ni gharama kubwa katika level ya certificate
 
Kijana Ana Sifa ya kusoma course kibao za Afya ila hatomudu ushindani vyuo vya Serikali,, hivyo JICHO lake liangalie vyuo binafsi ambavyo kwa sasa vipo kila kona ni wewe na Pesa yako tu Mzazi!..
Nursing,,pharmacy,,medical lab,, just to mention a few.
Mwl WA Chemistry na Biology
 
Nursing hawezi kusoma kwa D ya Chemia na F ya math kwan nursing ndio kozi yenye credit kubwa kuliko yoyote kwenye afya apo asubiri uamisho atafute chuo cha pharmacy aombe kuamia certificate
 
Jinsia ya kike
Amemliza 2019 matokeo yapo kama hivi
civics C
Bios C
Chemi D
English C
Geo C
Hist D
Kiswah C
Math F
Phy D

Amechaguliwa INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING - DODOMABTCRDP - RURAL DEVELOPMENT PLANNINGOther CollegeDODOMA CC - DODOMA

Anaomba ushauri juu ya hii kozi ingawa yeye hakuichagua wala hajaipenda
Hajaipenda???Mwambie Aache Ujinga,Serikali Imemchagua Anasema Hajaipenda??Mwambie Asome!Akihama Atafeli Tu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Jinsia ya kike
Amemliza 2019 matokeo yapo kama hivi
civics C
Bios C
Chemi D
English C
Geo C
Hist D
Kiswah C
Math F
Phy D

Amechaguliwa INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING - DODOMABTCRDP - RURAL DEVELOPMENT PLANNINGOther CollegeDODOMA CC - DODOMA

Anaomba ushauri juu ya hii kozi ingawa yeye hakuichagua wala hajaipenda

Kama ada ipo
Nashauri aomne vyuo vya afya akasome kozi za afya zina opportunities now adays
 
Nursing hawezi kusoma kwa D ya Chemia na F ya math kwan nursing ndio kozi yenye credit kubwa kuliko yoyote kwenye afya apo asubiri uamisho atafute chuo cha pharmacy aombe kuamia certificate

Sio kwrli kozi za afya zinahitaji angalau uwe na pass 4 kwa maana kuanzia D
katika katika physics,chemistry,biology bila kusahau english na mathematics ingia nacte afu urudi hapa na mrejesho
Nime attach kwa faida ya wengine
 
Attachments

  • GUIDEBOOK-FOR-ALL-2020_2021.pdf
    639.4 KB · Views: 11
Jinsia ya kike
Amemliza 2019 matokeo yapo kama hivi
civics C
Bios C
Chemi D
English C
Geo C
Hist D
Kiswah C
Math F
Phy D

Amechaguliwa INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING - DODOMABTCRDP - RURAL DEVELOPMENT PLANNINGOther CollegeDODOMA CC - DODOMA

Anaomba ushauri juu ya hii kozi ingawa yeye hakuichagua wala hajaipenda
Kwa mwanamke mbna ilibidi apangwe advance HGL, HGK, HKL. But mtaftie taaluma ya ndoto zake.
 
Jinsia ya kike
Amemliza 2019 matokeo yapo kama hivi
civics C
Bios C
Chemi D
English C
Geo C
Hist D
Kiswah C
Math F
Phy D

Amechaguliwa INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING - DODOMABTCRDP - RURAL DEVELOPMENT PLANNINGOther CollegeDODOMA CC - DODOMA

Anaomba ushauri juu ya hii kozi ingawa yeye hakuichagua wala hajaipenda
Mkuu mshaur aapply upya kozi za afya(pharmacy,dentistry au CO)
 
Jinsia ya kike
Amemliza 2019 matokeo yapo kama hivi
civics C
Bios C
Chemi D
English C
Geo C
Hist D
Kiswah C
Math F
Phy D

Amechaguliwa INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING - DODOMABTCRDP - RURAL DEVELOPMENT PLANNINGOther CollegeDODOMA CC - DODOMA

Anaomba ushauri juu ya hii kozi ingawa yeye hakuichagua wala hajaipenda
Nursing ajira njenje
 
Mwachie aende hiyo kozi ya kupanga maendeleo vijijini. Tanzania walio vijijini ni wengi kuliko wa mjini. Anapopata mafunzo ya kupanga namna ya kutatua changamoto walizo nazo vijijini, anakuwa na fursa ya kuhudumia watu wengi kwa wakati mmoja.

Halafu mzazi/mwanafanuzi hajaipenda kwa vile tu haijui ni kozi ya kitu gani, na haimpi 'kiki' miongoni mwa wenzie wanapojigambia matokeo ya kuchaguliwa.

Aende kozi hiyohiyo. Baada ya miaka mitatu anakuwa na diploma yake, na nafasi ya kutumikia Watanzania. Umeangalia muhstasari wa anayokwenda kujifunza? Umeona umuhimu wa masomo yake? F ya hesabu inaashiria changamoto kwenye sayansi.
 
Back
Top Bottom